International - Liverpool - Arsenal

Mwamuzi aliyempiga kiwiko Robertson matatani

Joel JJ By Joel JJ
10 Apr 2023
Mwamuzi aliyempiga kiwiko Robertson matatani

Beki wa kushoto wa Liverpool Andy Robertson alipigwa kiwiko na msaidizi wa mwamuzi Constantine Hatzidakis katika tukio la kushangaza mara tu baada ya filimbi ya mapumziko ya mechi ya Jumapili ya Ligi Kuu dhidi ya Arsenal

Nahodha wa Scotland alimwendea mwamuzi huyo msaidizi ambaye kisha akaweka kiwiko chake kwenye kidevu cha Robertson

Robertson alionyeshwa kadi ya njano na mwamuzi Paul Tierney huku akipinga kwa hasira

Arsenal waliongoza 2-1 hadi mapumziko, lakini Liverpool waliokoa sare ya 2-2 huku bao la kichwa la Roberto Firmino dakika ya 87 likizima nia ya vinara hao kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza tangu 2004.

Hatzidakis sasa anakabiliwa na uchunguzi kuhusu mwenendo wake baada ya bodi ya waamuzi ya PGMOL kusema itapitia tukio hilo

"PGMOL inafahamu kuhusu tukio lililohusisha mwamuzi msaidizi Constantine Hatzidakis na beki wa Liverpool Andrew Robertson wakati wa mapumziko wakati wa mechi ya Liverpool dhidi ya Arsenal kwenye uwanja wa Anfield. Tutapitia suala hilo kikamilifu," taarifa hiyo ilisema

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
3h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →