Jumapili April 16th Simba watakuwa wenyeji wa mtanange wa watani wa jadi utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam
Bodi ya Ligi imetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa saa 11 jioni
Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.