Bayern Munich - International

Sadio Mane anadaiwa kumpiga Leroy Sane

Joel JJ By Joel JJ
12 Apr 2023
Sadio Mane anadaiwa kumpiga Leroy Sane

Sadio Mane aliripotiwa kumpiga mchezaji mwenzake wa Bayern Munich Leroy Sane mdomoni wakati wa mzozo katika vyumba vya kubadilishia nguo Jumanne usiku

Washambuliaji hao walionekana wakizozana uwanjani wakati timu yao ikiwa nyuma kwa mabao 3-0 kutoka kwa Manchester City katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa

Mzozo huo uliendelea hata baada ya mchezo kumalizika ambapo kulingana na BILD, wachezaji wenzao walilazimika kuwatenganisha Mane na Sane kwenye chumba cha kubadilishia nguo baada ya kushikana mashati

Bayern Munich bado haijasema lolote kuhusu tukio hilo lililoripotiwa

Kichochezi cha mzozo huo kinasemekana kuwa ni dakika ya 83 ambapo Sane alimlalamikia Mane kwa kupuuzia kile alichomuelekeza uwanjani

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →