Transfer - Local

Yanga yafanikiwa kumbakisha Dickson Job

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Apr 2023
Yanga yafanikiwa kumbakisha Dickson Job

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Yanga zimethibitisha kuwa mabingwa hao watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara, Yanga wamefanikiwa kumuongezea mkataba beki wao mahiri Dickson Job

Mkataba wake wa awali ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu lakini sasa Yanga imefanikiwa kumshawishi na kumpa miaka mingine miwili

Yanga imekuwa katika mazungumzo na muda mrefu na Job lakini hakukuwa kumefikiwa makubaliano suala la mshahara likitajwa kuzitofautisha pande hizo

Afisa habari wa zamani wa Yanga Haji Manara amefichua kuwa mwafaka umepatikana na Job amesaini mkataba kuendelea kuitumikia Yanga

Yanga imeendelea kuhuisha mikataba ya wachezaji wake ambayo inaelekea ukingoni

Djigui Diarra, Yannick Bangala, Djuma Shabani, Mudathir Yahya, Bakari Nondo Mwamnyeto, Fiston Mayele, Farid Mussa, Zawadi Mauya ni miongoni mwa wachezaji ambao tayari mikataba yao imehuishwa

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
25m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’