Chelsea - International

Joao Felix kuigharimu Chelsea euro 100M

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Apr 2023
Joao Felix kuigharimu Chelsea euro 100M

Chelsea italazimika kulipa zaidi ya euro milioni 100 kama wanataka kubadilisha mkopo wa Joao Felix kuwa uhamisho wa kudumu

Hayo ni kwa mujibu wa jarida la Uhispania la Marca, huku ikidai Atletico Madrid haitafikiria kumuuza fowadi huyo wa Ureno kwa chini ya kiasi hicho cha pesa msimu wa joto.

Felix aliondoka Atletico baada ya kutofautiana na meneja Diego Simeone, lakini ana mkataba na klabu hiyo hadi 2027.

Felix amekuwa na kiwango kizuri tangu alipowasili Januari Stamford Bridge na amekuwa mmoja wa wachezaji wa kuvutia zaidi wa The Blues, lakini bado hajaonyesha ufanisi wake kiasi cha kuwakilisha thamani inayotajwa akiwa na mabao mawili pekee katika mechi 13.

Marca wanadai Chelsea, hasa mmiliki wa Marekani Todd Boehly, wamefurahishwa na Felix na wako tayari kuketi kujadili uhamisho wake wa kudumu

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’