Jana kwa mara nyingine tena klabu ya Real Madrid ilitawala Uingereza. Baada ya kuifunga Liverpool 5-2 kwenye Uwanja wa Anfield katika raundi ya awali, Los Blancos waliishinda Chelsea 2-0 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa.
..... download Xtra 90 App



