Singida - Yanga - Local

Singida BS yaanza maandalizi kuikabili Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Apr 2023
Singida BS yaanza maandalizi kuikabili Yanga

Walima alizeti wa Singida Big Stars wanakabiliwa na mechi mbili dhidi ya Yanga kwenye ligi kuu na kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Mchezo wa Ligi kuu utapigwa May 04 na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ukipigwa May 07 . Mechi zote zitapigwa katika uwanja wa LITI

Msemaji wa Singida BS, Hussein Massanza amesema wamepokea barua asubuhi ya leo Jumatano ikiwaelekeza kuhusu michezo hiyo

Amesema wameanza maandalizi kujiandaa na michezo hiyo na imani yao watafanya vizuri

Singida BS wanahitaji kushinda mchezo dhidi ya Yanga ili kujihakikishia nafasi ya kumaliza tatu za juu kwenye ligi huku pia wakiwa na nafasi ya kushiriki michuano ya CAF kama watatwaa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

More Stories

Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
5h ago
READ MORE β†’
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
10h ago
READ MORE β†’
Kocha Dimitar Pantev ateuliwa kuwa kocha mpya wa Richard Bay.
Kocha Dimitar Pantev ateuliwa kuwa kocha mpya wa Richard Bay.
10h ago
READ MORE β†’
Sandaland kuchukua hatua kufuatia kauli za Makonda juu ya jezi za Taifa stars
Sandaland kuchukua hatua kufuatia kauli za Makonda juu ya jezi za Taifa stars
10h ago
READ MORE β†’
Tuchel awarejesha Trent na Palmer kikosi cha England
Tuchel awarejesha Trent na Palmer kikosi cha England
11h ago
READ MORE β†’
Wizara kuunda kamati kuchunguza mkataba wa jezi timu za taifa
Wizara kuunda kamati kuchunguza mkataba wa jezi timu za taifa
12h ago
READ MORE β†’
Pyramids ya mokwena haishikiki misri, yaandelea kuongoza msimamo
Pyramids ya mokwena haishikiki misri, yaandelea kuongoza msimamo
13h ago
READ MORE β†’
EPL kuendelea leo kwa dabi ya London kati ya Brentford dhidi ya Chelsea
EPL kuendelea leo kwa dabi ya London kati ya Brentford dhidi ya Chelsea
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yapambana kuondoa kadi nyekundu ya Aziz Ki kabla ya derby ya simba
Yanga yapambana kuondoa kadi nyekundu ya Aziz Ki kabla ya derby ya simba
17h ago
READ MORE β†’
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
1d ago
READ MORE β†’