Manchester City - International

Mahrez apiga hat-trik Man City ikitinga fainali FA

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Apr 2023
Mahrez apiga hat-trik Man City ikitinga fainali FA

Jana Manchester City ilisonga hatua moja karibu na uwezekano wa kutwaa mataji matatu msimu huu baada ya kutinga fainali ya Kombe la FA

Hat-trick kutoka kwa Riyad Mahrez ilitosha kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Sheffield United kwenye Uwanja wa Wembley na kutinga fainali

Pep Guardiola alipanga kikosi chenye nguvu kwa pambano hilo, akiwemo Jack Grealish na Erling Haaland ambaye alikuwa akicheza mechi yake ya kwanza Wembley

Man City watamenyana na Manchester United au Brighton kwenye mchezo wa fainali

Kusonga mbele katika Kombe la FA kunamaanisha kwamba City wako kwenye njia thabiti ya kupata mataji matatu ya kihistoria, baada ya kupata nafasi ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ambapo watamenyana na Real Madrid kwa mikondo miwili

Pia wanaonekana kuwa na nguvu kwenye Ligi Kuu sare ya 3-3 kati ya Arsenal na Southampton Ijumaa usiku ina maana kwamba The Gunners sasa wako pointi tano mbele ya City kwenye Premier League, hata hivyo wakiwa na michezo miwili mkononi vijana wa Guardiola wanashikilia karata katika mbio za mwisho

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’