Baada ya Ruvu Shooting na KMC kuambulia vipigo jana na kuendelea kubaki katka nafasi zao chini ya msimamo, ligi kuu ya NBC inaendelea leo vita kubwa ikishika kasi chini ya msimamo
Coastal Union yenye alama 27 nafasi ya 12, itachuana na Mtibwa Sugar yenye alama 29 nafasi ya 10 huku Kagera Sugar yenye alama 12 ikichuana na Mbeya City yenye alama 27 katika nafasi ya 13 eneo la play-off


ADVERTISE HERE