Tottenham - International

Tottenham wafikiria kumtimua Stellini

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Apr 2023
Tottenham wafikiria kumtimua Stellini

Tottenham wanafikiria kumtimua Cristian Stellini baada ya kuchapwa mabao 6-1 na Newcastle

Spurs walifungwa mabao matano katika dakika 21 za mwanzo baada ya Stellini kuanza mabeki wanne kwa mara ya kwanza msimu huu

Muitaliano huyo alirejea katika mfumo wa walinzi watatu baada ya muda mfupi lakini uharibifu ulikuwa umefanyika

Uongozi wa Tottenham unafikiria kukata uhusiano mapema kulingana na ripoti ya Evening Standard

Stellin mwenye umri wa miaka 48 aliteuliwa kuwa kaimu kocha mkuu hadi mwisho wa msimu baada ya Antonio Conte kutimuliwa mwezi uliopita lakini uamuzi huo unaweza kutenguliwa hivi karibuni

Ryan Mason ametajwa kuwa chaguo la kumrithi Stellini hadi mwisho wa msimu.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’