Simba - Local

Simba yafa kiume Morocco

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Apr 2023
Simba yafa kiume Morocco

Mikwaju ya penati kwa mara nyingine imeikwamisha Simba kutinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ikipoteza kwa penati 4-3 dhidi ya Wydad Athletic

Dakika 90 za mchezo huo wa mkondo wa pili robo fainali ulimalizika kwa matokeo ya Wydad kupata ushindi wa bao 1-0 na hivyo kuwa sare ya bao 1-1 Simba ikishinda bao 1-0 jijini Dar es salaam

Ukizungumzia Simba ya Kimataifa ndio hii tuliyoiona Morocco leo, benchi la ufundi chini ya kocha mkuu Robertinho Oliveira wamefanya kazi kubwa ya kutengeneza kikosi imara

Leo Simba imeondoshwa mashindanoni kwa kuwa ilikosa bahati tu, lakini walikuwa bora na nidhamu kubwa ya kujilinda kwa dakika zote 90

Wachezaji wa Simba leo wamemwaga jasho jingi uwanja wa Mohammed V, wanastahili pongezi

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’