Mtibwa Sugar - Local

Mtibwa Sugar yathibitisha kuachana na Mayanga

Joel JJ By Joel JJ
1 May 2023
Mtibwa Sugar yathibitisha kuachana na Mayanga

Klabu ya Mtibwa Sugar imethibitisha kumfuta kazi aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Salum Mayanga kutokana na mwenendo mbaya wa timu kwenye michuano ya Ligi Kuu na Kombe la Azam Sports Federetion (ASFC).

Afisa Habari wa timu hiyo, Thobias Kifaru amesema kuwa uongozi wao umefikia maamuzi hayo kwa nia njema ya kuinusuru timu hiyo isishuke daraja

"Nimaamuzi magumu kutokana na kocha Mayanga kuwa ni miongoni mwa waanzilishi wa timu hii lakini nadhani upepo mbaya umempitia na kudumu kwa muda mrefu kwake kiasi cha kuiweka timu katika hatari ndiomaana uongozi umeamua kumpumzisha," amesema Kifaru

Mtibwa Sugar ni miongoni mwa timu ambazo huenda zikashuka daraja au kucheza michezo miwili ya mtoano 'Play Off' endapo haitashinda mechi zake tatu za mwisho, timu hiyo kwa sasa inashika nafasi ya 12 kwenye msimamo ikiwa imekusanya pointi 29 katika michezo 27

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
11m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →