Simba yaifuata Namungo Fc

Joel JJ By Joel JJ β€’ 1st May 2023


Simba yaifuata Namungo Fc

Msafara wa kikosi cha Simba umeondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya mechi mbili huko Kusini wa Tanzania

Jumatano Simba itakuwa uwanja wa Majaliwa kuumana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu na Jumamosi Simba itakuwa uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kuumana na Azam Fc katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.