Yanga - Local

Singida BS yachapwa 2-0 na Yanga nyumbani

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 May 2023
Singida BS yachapwa 2-0 na Yanga nyumbani

Unaweza kusema ni suala la muda tu Yanga kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa pili mfululizo baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida BS katika mchezo uliopigwa uwanja wa Nafua LITI

Mabao ya Stephane Aziz Ki na Clement Mzize yalitosha kuihakikishia Yanga alama tatu muhimu ugenini

Wananchi waliuanza mchezo huo kwa kasi na walihitaji dakika 20 tu kujihakikishia alama tatu

Shuti la nje ya 18 kutoka kwa Aziz Ki kwenye dakika ya 15 lilimshinda mlinda lango Benwedict Haule kabla ya Mzize kufunga bao la pili kwenye dakika ya 20 akimalizia krosi ya Jesus Moloko

Yanga ilitengeneza nafasi nyingi zaidi kuliko wapinzani wao kwenye mchezo huo na pengine ilistahili kuondoka na ushindi mnono zaidi

Wananchi wamefikisha alama 71 wakijiimarisha kileleni kwa tofauti ya alama saba dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili

Yanga inahitaji alama tatu tu kutoka mechi tatu ziilizobaki ili kutwaa ubingwa

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’