Transfer - International

Tetesi za soka Ulaya, Jumatatu May 08 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 May 2023
Tetesi za soka Ulaya, Jumatatu May 08 2023

Barcelona wana uhakika wa kukamilisha dili ya kumsajili kiungo wa kati wa Manchester City na Ujerumani Ilkay Gundogan, 32. (90min)

Aston Villa wanajiandaa kumnunua fowadi wa Serbia Dusan Vlahovic, 23, kutoka Juventus . (Football Insider)

Tottenham wameitaka Barcelona kutaja bei yao kwa kiungo wa kati wa Ivory Coast Franck Kessie, 26. (Sport - in Spanish)

Liverpool haijawasiliana na Brighton kuhusu uhamisho wa kiungo wa kati wa Argentina Alexis Mac Allister, 24 (Athletic)

Rais wa Napoli Aurelio de Laurentiis anasema mabingwa hao wa Serie A hawatamuuza mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen, 24, ambaye amekuwa akihusishwa na baadhi ya vilabu vikubwa barani Ulaya, msimu huu wa joto.(Cinque Minuti, via Mail)

Nahodha wa zamani wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 33, ataondoka Chelsea - na anataka kurejea Barcelona . (Fabrizio Romano)

Aston Villa wako tayari kulipa dau la £60m la Fulham ili kumsajili kiungo wa kati wa Ureno Joao Palhinha, 27 kutoka klabu hiyo ya London(Football Insider)

Wakala wa mchezaji wa kimataifa wa Ureno Joao Cancelo amekutana na Barcelona kuhusu klabu hiyo kumsajili beki huyo wa Manchester City , ambaye yuko kwa mkopo Bayern Munich, kwa mkopo wa msimu mzima kukiwa na chaguo la kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28. (Sport - in Spanish)

Manchester City wataangalia uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Bayern Munich Mholanzi Ryan Gravenberch, 20, ambaye amekuwa akihusishwa na Liverpool, iwapo watakosa kumnunua kiungo wa kati wa Uingereza Jude Bellingham, 19, kutoka Borussia Dortmund. (Mirror)

BBC

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’