Yanga - Local

Yanga yasepa na Milioni 20 ya Mama

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 May 2023
Yanga yasepa na Milioni 20 ya Mama

Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Marumo Gallants jana katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho barani Afrika mkondo wa kwanza, Yanga imevuna Tsh Milioni 20 kutoka kwa bonas ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan

Rais aliongeza dau  kutoka Milioni 5 kuwa Milioni 10 kuanzia hatua ya nusu fainali ambayo Yanga ilifanikiwa kufuzu huku watani zao Simba wakiondoshwa hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa

Sasa Yanga imevuna jumla ya Tsh Milioni 70 za bonas kutoka mabao 12 waliyofunga kuanzia hatua ya makundi

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’