Simba - Ruvu - Local

Simba inataka heshima, Ruvu haitaki kushuka

Joel JJ By Joel JJ
11 May 2023
Simba inataka heshima, Ruvu haitaki kushuka

Inaweza kuwa ni taarifa chungu kwa maafande wa Ruvu shooting baada ya kocha mkuu wa Simba Robertinho Oliviera kusema kwamba wanataka kushinda mchezo utakopigwa kesho Uwanja wa Azam Complex dhidi ya Ruvu shooting

Robertnho amesema haijalishi kuwa watavuna nini mwisho wa msimu lakini wanachotaka ni kuilinda heshima ya timu

"Sio mchezo mrahisi kwetu lakini ni lazima tushinde, nimewaambia wachezaji wangu kuwa tunapaswa kumaliza vizuri msimu na mashabiki zetu," amesema Robertinho

Nae Kocha msaidizi wa Ruvu shooting, Frenk Msise amesema bado hawajakata tamaa wanaamini inawezekana wao kusalia kwenye ligi kwa msimu ujao

"Kwa uzoefu tulionao tunaamini kwenye michezo mitatu iliyosalia tunaweza kupata matokeo na kusalia kwenye ligi kwa msimu ujao, simba wametuzidi katika uwekezaji ila hakuna aliyejua kama Simba atamfunga Wydad kwahiyo hata sisi tunaamini tunaweza kushinda" amesema Mzize

Mpaka sasa Ruvu shooting inaburuza mkia katika ligi hiyo ikiwa na alama 20 hivyo hesabu zao ni kushinda dhidi ya Simba ili kujinusuru na jinamizi la kushuka daraja.

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →