KMC - Singida BS - Local

KMC yaichapa Singida BS 2-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 May 2023
KMC yaichapa Singida BS 2-0

KMC imejiondoa katika eneo la hatari kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida BS katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Mabao ya Daruweshi Saliboko na Cliff Buyoya yameihakikishia KMC alama tatu muhimu na hivyo kufikisha alama 29 na kusogea mpaka nafasi ya 12

Ulikuwa ushindi wa kwanza kwa kocha Jamhuri Kiwhelo 'Julio' ambaye KMC walimpa mission ya kuinusuru timu hiyo kuteremka daraja

KMC imesalia na mechi mbili za kuhitimisha msimu ambapo wanahitaji angalau alama tatu ili kujihakikishia kutoshuka daraja moja kwa moja ingawa wanaweza kuingia eneo la play-off

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’