Man City kuikabili Real Madrid leo, nusu fainali UEFA CL

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 May 2023
Man City kuikabili Real Madrid leo, nusu fainali UEFA CL

Mechi ya kwanza iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1 iliamuliwa na ustadi wa kibinafsi huko Santiago Bernabeu, Manchester City na Real Madrid zinachuana tena leo katika uwanja wa Uwanja wa Etihad kwa mkondo wa pili wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa

Timu hizo zinakutana tena Etihad baada ya sare ya 1-1 katika mji mkuu wa Uhispania, lakini ni timu moja pekee ambayo sasa inaweza kumaliza msimu wa 2022-23 kama mabingwa wa ligi na washindi wa Uropa

Bado mchezo ni 50-50 pamoja na Man City kuwa na faida ya kucheza katika uwanja wa nyumbani, Real Madrid wamejipambanua kwa kupata matokeo mazuri kila wanapocheza Uingereza

Manchester City inawania kushinda mataji matatu msimu huu wakati Real Madrid inahitaji kutetea taji lake ambalo litakuwa la pili msimu huu kama watashinda

Real Madrid wameshindwa na Barcelona katika mbio za ubingwa wa La Liga wakati wapinzani wao Manchester City wanakaribia kushinda taji la EPL kwa msimu wa tatu mfululizo

Mshindi wa mchezo wa leo ataumana na Inter Milan kwenye fainali itakayopigwa Juni 10 2023

ADVERTISE HERE

More Stories

Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
38m ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
3h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
5h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
6h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
6h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
8h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
8h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
9h ago
READ MORE β†’
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
21h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
1d ago
READ MORE β†’