Kiungo wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu pamoja na kutozwa faini ya Tsh 500,000/- kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Suleiman katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Azam Complex na Simba kushinda mabao 3-0