Real Madrid - Valencia - Brazil - Internationali

Brazil yakerwa na ubaguzi kwa Vini Jr

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 May 2023
Brazil yakerwa na ubaguzi kwa Vini Jr

Serikali ya Brazil imetoa tamko la kutokubaliana na vitendo vya ubaguzi wa rangi alichofanyiwa raia wake Vinicius Jr wakati wa mchezo wa kipigo cha 1-0 cha Real Madrid dhidi ya Valencia katika dimba la Mestalla siku ha Jumapili

Taarifa iliyotolewa na Serikali ya Brazil, imelaani matukio hayo yanayojirudia mara kwa mara kwa Vini Jr na kutaka yakomeshwe

"Tunakataa uchokozi mwingine wa ubaguzi wa rangi dhidi ya Vini Jr. Tutaitaarifu mamlaka ya Uhispania na La Liga kuwa Serikali ya Brazil haitavumilia ubaguzi wa rangi hapa au nje. Tutafanya kazi ili kila mwanamichezo mweusi aweze kucheza bila kukumbana na hili." imesema Serikali ya Brazil

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’