Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo ameikabidhi Yanga kitita cha Tsh Milioni 20 ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ikiwa ni bonus baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa mkondo wa pili nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants
..... download Xtra 90 App



