Simba - Local

Robertinho afurahia sapoti Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
28 May 2023
Robertinho afurahia sapoti Simba

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amesema ana furaha kufanya kazi na Simba, matumaini yake ni kuwa atawasaidia wekundu hao wa Msimbazi kushinda mataji

Robertinho amesema amepata sapoti kubwa kutoka kwa uongozi wa Simba anafurahia sapoti ya mashabiki vile wanavyoiunga mkono timu yao

Licha ya kutokuwa na msimu wa mafanikio, Kocha huyo raia wa Brazil, amesema alifanya uamuzi sahihi kujiunga na Simba

"Nikiwa na Vipers Fc baada ya kuitoa TP Mazembe kwenye ligi ya mabingwa, nilipata ofa nyingi sana lakini nikachagua kuja Simba. Nilizungumza na viongozi na kwa kweli naipenda Simba, nawapenda Watanzania, mashabiki wanapenda sana soka na wanazipenda timu zao"

"Simba ni klabu kubwa hapa Afrika na hata duniani, kuna vitu tunapaswa kufanya ili tuweze kuonyesha ukubwa wetu. Tutakuwa na nafasi nzuri ya kufanya maboresho pale ligi itakapomalizika," alisema Robertinho

Simba itakamilisha msimu kwa mechi mbili dhidi ya Polisi Tanzania (Juni 06) na Coastal Union (Juni 09)

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’