Simba yatoa pole shabiki aliyefariki mechi ya Yanga vs USM Alger

Joel JJ By Joel JJ β€’ 29th May 2023


Simba yatoa pole shabiki aliyefariki mechi ya Yanga vs USM Alger

Klabu ya Simba imeungana na Watanzania kuomboleza na kutoa pole kwa familia ya shabiki aliyefariki uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika ambao Yanga walipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 na USM Alger

Kabla ya mchezo huo kulikuwa na changamoto ya mashabiki waliojitokeza kwa wingi kuingia uwanjani na kupelekea kukanyagana katika jitihada za kuingia uwanjani pale mageti yalipofunguliwa


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.