Chelsea - International

Pochettino asaini mkataba Chelsea

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 May 2023
Pochettino asaini mkataba Chelsea

Rasmi Mauricio Pochettino amesaini mkataba wa kuifundisha Chelsea, makubaliano baina ya pande hizo mbili yalifanyika wiki mbili zilizopita

Mwandishi maarufu wa habari za michezo zenye uhakika Fabrizio Romano alithibitisha jana

Taarifa ya Romano imeeleza kuwa Chelsea watamtangaza Pochettino muda wowote kuanzia sasa kuwa kocha mpya kwa mkataba wa miaka mitatu

Kocha huyo wa zamani wa Spurs ataanza kazi wiki ijayo baada ya jana kuhitimishwa msimu wa Ligi Kuu England

Lampard ameondoka rasmi baada ya msimu kumalizika huku Chelsea ikimaliza katika nafasi ya 12

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
27m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’