Manchester City wanatumai kuwa jaribio lao la kushinda mataji matatu litamshawishi mshambuliaji wa Norway Erling Haaland, 22, kusaini mkataba wa muda mrefu zaidi na kuzuia nia ya Real Madrid kumsajili nyota huyo (Telegraph - usajili unahitajika)
..... download Xtra 90 App



