Bodi ya Ligi Kuu kwa kushirikiana na Wadhamini Banki ya NBC na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo wametambulisha kombe jipya atakalokabidhiwa bingwa wa michuano hiyo
Kombe hilo ni mbadala wa lile walilotambulisha msimu uliopita ambalo Yanga ilikabidhiwa baada ya kutwaa ubingwa
Keshokutwa Ijumaa Yanga itakabidhiwa kombe hili jipya lililotambulishwa leo
