Leo Jumatano Juni 07, klabu ya Simba SC imeingia mkataba wa ushirikiano na timu ya West Armenia Football Club
Mkataba huu wa ushirikiano utatoa fursa kwa timu hizo kuuziana wachezaji, maendeleo ya ufundi, soka la vijana na maendeleo ya soka
West Armenia Football Club inashiriki Ligi Daraja la kwanza nchini Armenia




