Yanga - Azam - Local

Ni Azam Fc vs Yanga, fainali FA leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Jun 2023
Ni Azam Fc vs Yanga, fainali FA leo

Leo msimu wa mashindano 2022/23 unahitimishwa mkoani Tanga kwa mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa saa 9 Alasiri katika uwanja wa Mkwakwani

Baada ya mchezo huo usiku kutakuwa na tukio la utowaji tuzo kwa waliofanya vizuri Ligi Kuu, Ligi ya Wanawake na kombe la FA msimu wa 2022/23

Huu unaweza kuwa msimu bora zaidi kwa Yanga kama itaweza kutwaa kombe la FA na utakuwa msimu wa pili mfululizo kushinda taji hilo

Baada ya kutwaa Ngao ya Jamii, Ligi Kuu na kucheza fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC), Wananchi wana matarajio leo wanaweza kuongeza taji la tatu kabatini kama walivyofanya msimu uliopita

Hata hivyo wanakutana na Azam Fc ambayo ubingwa wa FA yatakuwa mafanikio yao makubwa zaidi kuyapata katika misimu ya hivi karibuni

Azam Fc walifika mapema jijini Tanga huku Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo Kali Ongara akitamba kuwa wana kila sababu ya kushinda taji la FA leo

Yanga inashuka uwanjani leo bila ya mshambuliaji wake kinara wa mabao Fiston Mayele ambaye yuko kwenye majukumu ya timu ya Taifa sambamba na Stephane Aziz Ki

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’