Saido mchezaji bora wa Simba Mei 2023

Joel JJ By Joel JJ β€’ 12th June 2023


Saido mchezaji bora wa Simba Mei 2023

Kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza amefunga msimu kwa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Simba kwa mwezi May 2023

Saido ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Simba akiwashinda Hennock Inonga na Shomari Kapombe

Huu unaweza kuwa msimu bora kwa Saido akiendelea kuzikusanya tuzo

Jana TFF ilimtangaza kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa mwezi Mei 2023 huku akisubiri tuzo nyingine katika usiku wa tuzo za TFF leo


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.