Simba - Local

Simba, Akpan hadithi imefika mwisho

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Jun 2023
Simba, Akpan hadithi imefika mwisho

Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa kiungo mkabaji Victor Akpan raia wa Nigeria

Akpan alijiunga na Simba msimu uliopita akitokea klabu ya Coastal Union hata hivyo hakuweza kukidhi mahitaji ya Simba ambapo alitolewa kwa mkopo kwenda klabu ya Ihefu Fc

Taarifa iliyotolewa na Simba imebainisha kuwa Akpan hatakuwa sehemu ya kikosi cha wekundu hao wa Msimbazi msimu ujao

Akpan anakuwa mchezaji wa pili kuachwa na Simba baada ya Augustine Okrah

Wababe hao wa soka ukanda wa Afrika Mashariki na kati wana mkakati mzito wa maboresho ya kikosi

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
1h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
4h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
5h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
5h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
6h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
7h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
8h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
8h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’