Simba - Yanga - Local

Ligi ya Thank You inaendelea Simba, Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Jun 2023
Ligi ya Thank You inaendelea Simba, Yanga

Baada ya Azam Fc kuongoza kwa idadi ya wachezaji waliotangaza kuachana nao, klabu za Simba na Yanga nazo zinazidi kuongeza idadi

Jana klabu ya Simba ilitangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Nelson Okwa baada ya makubaliano ya pande mbili kufikiwa

Okwa alikuwa mchezaji wa nne kuachwa na Simba baada ya Augustine Okrah, Victor Akpan na Mohammed Ouattara

Usiku Yanga nayo ikatangaza kuachana na winga mtukutu Bernard Morrison ambaye mkataba wake wa mwaka mmoja na Yanga umemalizika

Morrison alikuwa mchezaji wa tatu kuachwa na Yanga baada ya Dickson Ambundo na Tuisila Kisinda

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’