Simba - Local - Transfer

Simba yapambana kumrudisha Miquissone

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jun 2023
Simba yapambana kumrudisha Miquissone

Klabu ya Simba imeanza mazungumzo ya kumsajili winga wake wa zamani Luis Miquissone kulingana na Mwanahabari raia wa Ghana, Micky Junior

Mabosi wa Simba wamefanya mazungumzo ya awali na Al Ahly ambapo mabingwa hao wa kihistoria ligi ya mabingwa wamebainisha kuwa Miquissone yuko sokoni

Simba iko tayari kumsajili kwa mkopo, changamoto ikiwa bado kwenye mshahara ambapo Al Ahly hawako tayari kulipa mshahara wa mchezaji huyo kama anatoka kwa mkopo kwani lengo lao ni kumuuza

Wakati huohuo Simba ikiwa tayari kulipa asilimia 30 ya mshahara wa Miquissone ambao unatajwa kuwa Tsh Milioni 93

Aidha kwa upande wa Miquissone mwenyewe ametoa masharti kuwa hayuko tayari kupunguza mshahara wake kama atatolewa kwa mkopo

Miquissone na Walter Bwalya hawako kwenye mipango ya Al Ahly msimu ujao na hivyo wote watauzwa na timu hiyo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’