Simba - Transfer - Local

Kibu kuongeza mkataba Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Jun 2023
Kibu kuongeza mkataba Simba

Baada ya kuonyesha kiwango bora tangu ujio wa kocha Robertinho Oliveira, mshambuliaji Kibu Denis yuko katika mazungumzo na uongozi wa Simba ili kuongeza mkataba

Kibu ni miongoni mwa wachezaji ambao Robertinho alipendekeza wapewe mikataba mipya baada ya mkataba wake wa awali uliokuwa wa miaka miwili kumalizika

Kibu alimaliza msimu 'kibabe' akiwa miongoni mwa wachezaji bora katika kikosi cha Simba

Mara kadhaa Robertinho alieleza kuvutiwa na uchezaji wake akibainisha kuwa mchezaji huyo anajituma sana katika mechi na hata anapokuwa mazoezini

Jitihada zake zimemrejesha kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
21h ago
READ MORE β†’