Dirisha la usajili kufunguliwa Jumamosi

Joel JJ By Joel JJ β€’ 30th June 2023


Dirisha la usajili kufunguliwa Jumamosi

Dirisha la usajili (FIFA Connect) kwa klabu za Ligi Kuu, Championship League, First League na Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite kwa msimu wa 2023/24, linafunguliwa Jumamosi Julai 1 na kufungwa August 31 2023


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.