Simba kuweka kambi Uturuki

Joel JJ By Joel JJ β€’ 3rd July 2023


Simba kuweka kambi Uturuki

Ni rasmi klabu ya Simba imetangaza kuwa kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2023/24 ni nchini Uturuki

Taarifa iliyotolewa na Simba, imebainisha kuwa nyota wote ikiwa ni pamoja na wale waliosajiliwa katika dirisha hili, watajumuishwa katika safari hiyo

Ikiwa Uturuki Simba itacheza mechi tatu za kirafiki, wekundu hao wa Msimbazi wakitarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu

Leo Simba imeanza kuwafanyia wachezaji vipimo vya afya tayari kwa maandalizi hayo ya 2023/24


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.