Azam - Local

Azam Fc yaboresha benchi la ufundi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Jul 2023
Azam Fc yaboresha benchi la ufundi

Klabu ya Azam Fc imemtambulisha Khalifa Ababakar Fall kuwa kocha wa makipa na Ibrahim Diop kuwa mchambuzi wa mechi (Video Analyst)

Wataalam hao wote ni raia wa Senegal, walitangazwa kutua Azam Fc siku ya Jumatatu

Azam Fc inanolewa na Youssouph Dabo ambaye alikabidhiwa mikoba mwishoni mwa msimu uliopita akichukua nafasi ya Kali Ongala ambaye aliondoka baada ya msimu kumalizika

Matajiri hao wa Chamazi wameanza maandalizi ya pre-season ambapo wameanza kwa zoezi la kuwafanyia wachezaji vipimo vya afya

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’