Yanga -Local - Transfer

Kibabage atua Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Jul 2023
Kibabage atua Yanga

Klabu ya Yanga imetangaza usajili wa kiungo mshambuliaji Nickson Kibabage kutoka klabu ya Singida Fountain Gate

Kibabage ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kushoto na winga, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga

Nyota huyo aliyewahi kuzitumikia Difaa El Jadid (Morocco), KMC na Mtibwa Sugar, atajumuishwa katika kikosi cha Yanga kitakachosafiri kwenda Malawi kwa ajili ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets Julai 06 katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Malawi

Ndiye mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili la usajili lililofunguliwa Julai 01

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’