Onyango atua Singida FG

Joel JJ By Joel JJ β€’ 7th July 2023


Onyango atua Singida FG

Joash Onyango beki wa kati wa Simba amejiunga na klabu ya Singida Fountain Gate, imefahamika

Onyango amejiunga na Singida Fountain Gate baada ya kufikia makubaliano binafasi ya uongozi wa Simba kuvunja mkataba wake

Beki huyo raia wa Kenya aliomba kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.