Yanga yashusha beki Mganda

Joel JJ By Joel JJ β€’ 11th July 2023


Yanga yashusha beki Mganda

Yanga imemtambulisha beki kisiki Gift Fred kutoka klabu ya SC Villa ya Uganda

Fred beki bora wa Ligi Kuu ya Uganda katika msimu uiliopita, amejiunga na mabingwa wa nchi kwa mkatava wa miaka mitatu

Ni miongoni mwa wachezaji wanaotegemewa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda

Fred anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili la usajili baada ya Nickson Kibabage


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.