Yanga - Local - Transfer

Mrithi wa Kaze Yanga ni huyu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Jul 2023
Mrithi wa Kaze Yanga ni huyu

Klabu ya Yanga imemtangaza mshambuliaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Senegal Moussa Ndao kuwa Kocha Msaidizi wa mabingwa hao wa Tanzania Bara

Ndao anachukua nafasi ya Cedric Kaze ambaye mkataba wake umemalizika 

Ndao ambaye amewahi kucheza na kufundisha klabu ya Wydad Athletic, ni pendekezo la Kocha Miguel Gamondi

Klabu ya Yanga imemshukuru na kumtakia kila la kheri Kaze ambaye amekuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichoshinda mataji saba katika misimu miwili

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’