Yanga - Local

Yanga yatangaza tarehe Wiki ya Mwananchi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Jul 2023
Yanga yatangaza tarehe Wiki ya Mwananchi

Rasmi klabu ya Yanga imetangaza Wiki ya Mwananchi mwaka huu itafanyika Julai 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Timu hiyo imetangza kufanya tukio hilo mapema kuliko ilivyozoeleka kutokana na muingiliano wa ratiba ambao mwezi August mechi za Ngao ya Jamii zitapigwa mapema na pengine kufuatiwa na mechi za hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika kabla ya Ligi Kuu ya NBC kuanza

Kauli mbiu ya Wiki ya Wananchi mwaka huu ni HII IMEENDA...!

Klabu ya Kaizer Chiefs imetajwa kualikwa kunogesha Tamasha hilo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’