Nigeria - Local

Okocha ateuliwa kuwa Waziri Nigeria

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Jul 2023
Okocha ateuliwa kuwa Waziri Nigeria

Rais wa Nigeria, Bola Tinubu amemteua mshambuliaji wa zamani wa PSG na timu ya Taifa Nigeria, Augustine Azuka Okocha kuwa Waziri wa Michezo, Vijana na Maendeleo

Okocha (46) ambaye pia amewahi kuvitumikia vilabu vya Eintracht Frankfurt, Fenerbahçe na Bolton aliichezea timu ya Taifa Nigeria mechi 73 huku akipachika magoli 14 kati ya mwaka 1993 na 2006

Okocha ambaye alijulikana uwanjani kwa kupiga chenga za maudhi na uhodari wa upigaji wa mipira iliyokufa, alitwaa medali ya dhahabu katika michuano ya Olympic 1996 na kombe la AFCON 1994 sambamba na tuzo ya mchezaji bora wa michuano ya AFCON 2004.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’