Simba - Local

Simba kuanza mazoezi Uturuki leo

Joel JJ By Joel JJ
13 Jul 2023
Simba kuanza mazoezi Uturuki leo

Baada ya kuwasili Mji wa Ankara jana majira ya saa 1 usiku, wachezaji wa Simba walipata muda wa kupumzika na leo wanaanza rasmi program ya maandalizi ya pre-season

Meneja wa Simba Mikael Igendia amesema wamekuwa na safari nzuri kutoka jijini Dar es salaam mpaka Oman kisha kuunganisha ndege nyingine kutoka Oman mpaka Istanbul ambako pia walisafiri kuelekea Mji wa Ankara

Igendia amesema wachezaji na benchi la ufundi wako kamili na leo wanaanza rasmi mazoezi

Kundi la kwanza ambalo linaanza mazoezi huko Uturuki linajumuisha wachezaji 17 ambapo kundi la pili la wachezaji na baadhi ya viongozi wanatarajiwa kuondoka nchini siku ya Jumamosi

Simba itakuwa Uturuki hadi August 01 itakaporejea nchini tayari kwa SIMBA DAY

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →