Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza tarehe ya kuanza Mashindano ya African football League yatakayoanza Oktoba 20
Mashindano hayo yanayoandaliwa na CAF yatachezwa kwa baadhi ya timu kutoka Afrika, huku Simba SC kutoka Tanzania ikiwa sehemu ya timu zitakazoshiriki
Simba SC wanaoshika nafasi ya 7 kwa ubora wa viwango Afrika watacheza mashindano hayo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao hivi sasa umefungiwa kwa ajili ya matengenezo
Katika Mkutano wa CAF unaofanyika nchini Ivory Coast, taarifa ya kuanza michuano hiyo ambayo itachezwa kwa mtoano, imetolewa
ADVERTISE HERE