Maxi usajili wa nne Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Jul 2023
Maxi usajili wa nne Yanga

Usiku wa kuamkia leo Yanga ilitambulisha usajili wake wa nne katika dirisha hili la usajili

Sio mwingine ni kiungo mshambuliaji Maxi Mpia Nzengeli kutoka klabu ya AS Maniema United ya DR Congo

Maxi ametua Yanga kwa mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara

Yanga imemsajili Maxi ili kuziba nafasi ya Tuisila Kisinda ambaye amerejea RS Berkane baada ya mkataba wake wa mkopo wa mwaka mmoja kumalizika

Huko DR Congo Maxi (23) wanamuita 'Mbappe' kutokana na kasi na umahiri wake wa kuwatoka mabeki

Maxi anamudu kucheza nafasi zote za winga na hata kutumika kama namba 10

Huyu alikuwa nahodha wa AS Maniema United na amecheza timu ya Taifa ya DR Congo kwa wachezaji wa ndani (CHAN)

ADVERTISE HERE

More Stories

De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
13m ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
1h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
2h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
3h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
3h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
4h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
7h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
9h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
10h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
10h ago
READ MORE β†’