Manchester United - International

Hatimaye Manchester United yamalizana na Onana

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Jul 2023
Hatimaye Manchester United yamalizana na Onana

Mlinda lango  Andre Onana anakaribia kujiunga na Manchester United, baada ya jana usiku Inter Milan na United kufikia makubaliano ya mwisho

Imeelezwa kutoka kwa Fabrizio Romano kuwa baada ya makubaliano hayo kinachofuata ni kuandaa karatasi za mkataba baada ya hapo wataomba kumfanyia vipimo vya afya

Romano amesema Onana atasaini mkataba wa miaka mitano utakaomuweka Old Trafford hadi Juni 2028 wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja

Manchester United wanatarajia kumtangaza Onana wiki hii kuchukua nafasi ya David De Gea aliyeondoka

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’