Simba - Local

Chama aibua sintofahamu Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Jul 2023
Chama aibua sintofahamu Simba

Wakati wachezaji wa Simba waliokuwa wamebaki jijini Dar es salaam wakisafiri leo kuelekea Uturuki kuungana na wenzao kwa ajili ya pre-season, kiungo Clatous Chama ameendelea kubaki jijini Dar es salaam

Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo imebaninisha kuwa wachezaji Willy Onana, Jean Baleke na Che Fondoh Malone wamesafiri leo kuelekea Uturuki huku winga Aubin Kramo akitarajiwa kutua Uturuki leo akitokea Ivory Coast

Kiungo Fabrice Ngomba atasafiri baada ya kukamilisha vibali, sintofahamu imebaki kwa Chama ambaye zipo taarifa kuwa ameuambia uongozi wa timu hiyo amepata ofa nje ya nchi

Upo mgogogo wa kimkataba kati ya Chama na Simba ambapo nyota huyo anadai mkataba wake na wekundu hao wa Simba umemalizika huku uongozi wa Simba ukisisitiza bado mwaka mmoja

Taarifa za ndani zimebainisha kuwa viongozi wa Simba na Chama watakutana katika kikao kingine siku ya Jumanne ili kumaliza sintofahamu iliyojitokeza na pengine Chama huenda akasafiri kwenda Uturuki siku ya Alhamisi

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
32m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’