Azam Fc kujipima na Esperance

Joel JJ By Joel JJ β€’ 17th July 2023


Azam Fc kujipima na Esperance

Azam inaendelea kujiandaa kwaajili ya msimu ujao Ligi Kuu na kimataifa nchini Tunisia

Julai 19 itacheza mchezo wa pili wa kimatiafa wa kirafiki dhidi ya Esperance ya nchini humo

Mchezo huu wa kirafiki unatarajiwa kupigwe katika uwanja wa Taifa wa Rades nchini Tunisia saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Awali Uwanja wa Park Esperence ulipangwa kufanyika mchezo huo kabla ya kupeleka maombi ya kuomba uwanja serikalini na wanasubiri majibu


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.