Samatta - Genk - Local - PAOK

Samatta atimkia Ugiriki

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Jul 2023
Samatta atimkia Ugiriki

Nahodha wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya PAOK ya Ugiriki akitokea klabu ya Fenerbahce aliyovunja nayo mkataba

Samatta aliyekipiga KRC Genk msimu uliopita akiwa kwa mkopo akitokea Fernabache amejiunga na PAOK ambao msimu ujao watashiriki mashindano ya Ligi ya Europa

PAOK wameweka taarifa ya Samatta kujiunga na timu yao, lakini hawajaandika amejiunga na mkataba wa muda gani

Hii ni nafasi nyingine kwa Samatta kushiriki michuano ya Europa akipata mafanikio makubwa katika michuano hiyo misimu miwili iliyopita akiwa na KRC Genk na kupata nafasi ya kusajiliwa na Aston Villa ya Uingereza

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’